Personal Testimony

April 17th, 2008 by trevor

Nashukuru Mungu Kwa Kunipatia wakati huu ili niweze Kushuhundia yale a mbayo amenifauyia maishani Mwangu.Kwa Kweli Kuna raha unapomu kubari  yesu Katika Maisha yako, Kwani anatukuwa akikuelekeza wakati wote.  Katika wakati wa huzuni au furaha.  Hivyo basi Kama unataka maisha yako yawe Mazuri yesu yu akuita amesimama mlangoni auangoja umukariblshe.   Yuko tayari Kuanza safari nawe na hata kumaliza nawe ila tu jambo moja anataka wewe ufanye utumbu dhambi zako ili uwe mwana wake tena.

Mungu anaendoelea kunibariki siku baada ya siku na nina hakika kuwa ile kasi ameanza atamaliza vile, vile kwa wewe baili tu umukaribishe maishani mwako.

Nafura hi aendelea kumutumikia mungu hapa South Africa bali nakuwa nimetoka Kenya Kwani Mahari Popote ulipo Mungu yuko.  Nashukuru hata Gospel Outreach Church.  Kwa kunipatia nafasi hii Kwa Mtandao wa.

Mungu awabariki Nyote.

John Wanjiku

        South Afrika

Comments are closed.